Friday, March 13, 2015

STEPS KUACHIA FILAMU MBILI KUMUENZI KANUMBA

KAMPUNI kubwa ya usambazaji wa filamu, Steps Entertainment hivi karibuni itatoa filamu mbili za marehemu Steven Charles Kanumba kwa lengo la kumuenzi nyota huyo wa filamu.
Filamu hizo ni YAMENIKUTA ambayo inatoka mwezi huu wa tatu mwishoni pamoja na RIZIKI inayotarajia kutoka mwezi ujao siku chache kabla ya kufikia siku ya kumbukumbu ya kifo chake.
Wadau tukae mkao wa kula.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI