Sunday, February 8, 2015

KIM KARDASHIAN ASHANGAZA MAELFU KWA JIBU ALILOTOA KUHUSU WATU ANAOTAKA KUPIGA NAO SELFIE *PICHA*

KIM KARDASHIAN ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za SELFIE.
Kwenye kujibu maswali machache ya mashabikki wake Kim K aliulizwa kama angepata nafasi ya kuchagua mtu tofauti wa kupiga naye Selfie Kim alijibu
My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI