BAADA ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Download Hizo Ngoma Hapa chini….!
1| Akon Ft Stephen Marley - Just A Man (Audio)
2 | Akon - Better Bounce (Audio)
3 | Akon - Whole Lot (Audio)
4 | Akon - To Each His Own (Audio)
5 | Akon Ft DBanj - Feeling That Nigga (Audio)
Hope Utaenjoy Miziki Mizuri toka Kwa Akon.
0 comments:
Post a Comment