Tuesday, January 20, 2015

JIONEE MWENYEWE JINSI AMBER ROSE NA BLAC CHYNA WALIVYOWATOA UDENDA WAKWARE HUKO INSTA *PICHAZ*

Amber Rose and entourage strolling around the Fontainebleau Hotel in Miami Beach
Amber Rose na Blac Chyna wakiponda raha jijini Miami.
BAADA ya  Wiz Khalifa kumwagana na mkewe, Amber Rose, sambamba na rapa wa Young Money ‘Tyga’ kuachana na mama mtoto wake Blac Chyna, imewafanya wanawake hao wapate uhuru zaidi wa kuponda raha na kujikuta wakifuatana kila sehemu kama vile kumbikumbi.
Amber Rose na Chyna wame-break the internet kwa kuwatoa udenda wanaume wakware baada ya kushea picha zao za minato katika mtandao wa kijamii wa Instagram zikiwaonyesha wakila bata jijini Miami huku wakiwa wametinga vivazi ya ufukweni wikiendi iliyopita.  Watazame hapo chini…..!
Amber Rose and entourage strolling around the Fontainebleau Hotel in Miami Beach

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI