Tuesday, January 6, 2015

FAMILIA YA RAPPER FABOLOUS YABALIKIWA TENA *PICHAZ*

MPENZI wa muda mrefu wa rappa Fabolous ‘Emily B’ ameripotiwa kutegemea mtoto wao wa pili. Emily ambaye aliwahi kuhusika na kipindi cha Love & Hip Hop New York amethibitisha kuwa anaujauzito baada ya kutuonyesha picha hii akiwa na tumbo la ujauzito.
Emily ameandika “Looking forward to the New Year…. And my new blessing.[Akaweka ishara ya mtoto mchanga] Happy New Year!!…”
Emily na Fabolous tayari wanamtoto wa miaka 6 ‘Johan’ na mwingine wa miaka 16 ‘Taina’ aliyempata kwenye hausiano ya awali

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI