Tuesday, December 23, 2014

SIKILIZA NA UPAKUE WIMBO WA BRACKET FT DIAMOND & TIWA SAVAGE - ALIVE *AUDIO*

KUNDI la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia audio na video ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz.
Katika wimbo huo uitwao ‘Alive’ ambao video yake imefanywa wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini na imeshatoka, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo halafu mwaga makoment yako hapa…!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI