Tuesday, December 23, 2014

PATAMU: HAPA NDIPO FUNUNU ZA BIFU LA IDRIS NA TAYO ZILIPOFIKIA… IDRIS AFUNGUKA KINACHOENDELEA KATI YAO!!!

sTORY
TOKA mshiriki wa BBAHotshots kutoka Tanzania, Idris ametangazwa kuwa mshindi, mengi yamekuwa yakisikika wengine wakihisi kuna tofauti kati ya Idris na mshiriki mwenzake ambaye waliingia fainali ambaye alikuwa mwakilishi wa Nigeria, Tayo.

Kulikuwa na kurushiana maneno kwenye mitandao ambako kulisababishwa na ujumbe wa msanii Davido kutafsiriwa tofauti, baadaye Idris pia akasema kwamba hakukuwa na tafsiri yoyote mbaya kwenye ujumbe huo na hakukuwa na sababu ya watu kuutafsiri vibaya.
Leo kupitia ukurasa wake wa Twitter (@IdrisSultan) ameandika ujumbe kuonyesha hakuna tofauti wala ugomvi wowote kati yake na Tayo ambaye alikuwa mwakilishi wa Nigeria ambaye walifanikiwa kuingia hatua ya fainali na Idris.
Some people should just shut up about  and me because clearly the problem is you, you’re busy crying while we living big. MOVE ON“– @ 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI