Tuesday, December 23, 2014

MTANGAZAJI WA BBC AVUNJA REKODI YA KUWA NDIYE MTANGAZAJI MCHAFU KULIKO WOTE DUNIANI *PICHAZ*

Pichani ni Raphael Tenthanimwakilishiwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi.
KATIKA maisha ya kawaida tumezoeakuona kuwa watangazaji na waandishi wahabari hupendelea kuonekana SMART kwani wao ni kioo cha jamii,,ila kwa hilini tofauti.
Aina yake ya mavazi na uvaaji wakeumezua gumzo katika mitandao jamii. Ralph amezoeleka kuonekana katikamavazi ya 'hovyo hovyo', yaliyolowa,machakavu na yaliyotoboka huku viatuvikiwa vimeachama, nywele 'vululuvululu' na sura ya 'kilevi'.
Mwandishi huyu wa habarihujihudhurisha alivyo katika kazi zakembalimbali za kuhojiana na kurushahabari bila kujali ustaarabu wa eneohusika hata ikiwa ni kwenye zuliajekundu. 
Wengi wanasema mkosoaji huyumkubwa wa Serikalizote zilizoongozwana Marais ndugu, Bingu (marehemu) naPeter Mutharika, huenda anafanya hivyoili kutimiza masharti ya 'mganga'aliyemsaidia kupata ujasiri,akili nyingina kazi katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI