Tuesday, December 23, 2014

HAYA NDIO MAPOKEZI YA WEMA SEPETU AKITOKEA GHANA...!!! PICHAZ ZIKO HAPA

Wema na Petitman
STAA Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka huko  Van Vicker amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake.
Akikumbatiana na Martin Kadinda.
Martin, Wema na Petitman
Akipozi na Martin Kadinda pamoja na Petity Money.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI