Wednesday, October 1, 2014

MTAZAME MWANAMAMA 'POWER BLACK NYATI' 'JIKE JEURI' *PICHAZ*

Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08, 2014.
Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014.
Picha kwa hisani ya mwanawamakonda.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI