Friday, October 17, 2014

BONGO MOVIES HAILIPI TENA: ELIZABETH 'LULU' MICHAEL AAMUA KUKOMAA NA SHULE TU

 MREMBO wa Ukweli Muingizaji wa Filamu za Kibongo Lulu Michael Amefunguka na Kusema kuwa Kwa sasa Bongo Movies Mambo hayaendi Vizuri na Kusema kuwa Inaelekea Kubaya Hivyo yeye ameamua Kujikita zaidi Kwenye Masomo ili awe na Mbadala...
Lulu Kwa sasa anasoma chuo cha Magogoni akichukua Course ya Public Administration..
Big Up Sana Lulu kwa hilo... Utafika mbali ukiwa na Elimu ya kutosha.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI