Wednesday, October 1, 2014

BAISKELI ZATUMIKA KATIKA MSAFARA WA KINANA, MILIMA YA USAMBARA KWENDA MKINGA, TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi, waandishi wa habari pamoja na wananchi wakiendesha baiskeli kwenda Kata ya Mg'aro katika mteremko wa milima ya Usambara, akitokea Lushoto kwenda Wilaya ya Mkinga,  mkoani Tanga jana kuendelea na ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na  kusikiliza kero za wananchi na kutafutia ufumbuzi.
Nape akihutubia wananchi katika Kata ya Mg'aro mpakani mwa wilaya za Lushoto na Mkinga
Wananchi wakishangilia huku mmoja wapo akiwa na bango la kuisifia CCM katika mkutano huo wa hadhara.
Kinana akihutubia katika mkutano huo wa hadhara katika Uwanja wa Maforoni, Duga.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI