Thursday, October 16, 2014

ANGALIA JINSI RIHANNA ALIVYOTISHIA AMANI YA RAIA KWA KUBEBA BUNDUKI HII HADHARANI…! *PICHAZ*

MWANAMUZIKI Rihanna asiyeisha vituko, hivi karibuni ametoa kali ya mwaka kwa kubeba mkoba unaofanana na Bunduki huku akijiachia  nao hadharani kitu ambacho watu wamejikuta Wanamshangaa na Kujiuliza maswali mengi Bila kupata  majibu.
Si mara ya kwanza kwa mwanadada huyu mrembo kubeba mikoba inayofanana na vitu vya aina mbali mbali.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI