Tuesday, September 30, 2014

RECHO UNAWAFUNDISHA NINI WATOTO?????


Kama shabiki yako nakupa ushauri dada yangu, Nguo uvaazo na vitu unavyofanya jukwaani ukiwana hao wanaume kwakweli havifurahishi wakuelimisha bali vinawaudhi wale wanaokupenda sana kama role modo wao, lakini pia kwetu sisi tunaofuatilia muziki hatufurahishwi na mambo uyafanyayo.




0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI