Tuesday, September 30, 2014

MCHUNGAJI ALIYEWALISHA WAUMINI MAJANI AJA NA MPYA..SASA AWAPONYA WAGONJWA KWA KUWAKANYAGA KANYAGA

PASTOR Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple, Sasa anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali kwa kuwakanyaga migongoni...

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI