Saturday, August 9, 2014

WEMA NA JOKATE WALIPOKUTANA KWENYE NDEGE NA KUPIGA PICHA

Screen Shot 2014-08-09 at 2.25.00 PM
JOKATE aliwahi kukiri  kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.
Ni stori ambazo ziliandikwa sana na inawezekana mpaka leo watu wengine walikua wanaamini Jokate na Wema hawawezi kukaa meza moja ila Aug 9 2014 Wema Sepetu baada ya kuwasili Mwanza kwa ajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 baadae CCM Kirumba amepost hii picha.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI