Monday, August 18, 2014

MTOTO WA RAIS OBAMA MWENYE MIAKA 16 AMZIDI UREFU BABA AKE

RAIS wa marekani Barack Obama, Mkewe Michelle na motto wao wenye miaka 16, Malia Obama, Picha hii ilipigwa ikulu siku jumamosi ya tar 09 ambapo walikuwa wakielekea kupanda usafiri kwaajili ya mapumziko ya kifamilia.
Japo kuwa Malia alivaa viatu  flat bado ameonekana kumzidi baba yake ambaye ana urefu wa futi 6 ’1′. 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI