Tuesday, July 22, 2014

MSANII ELIZABETH 'LULU' MICHAEL AFUTURU NA WATOTO YATIMA SINZA, MAMA KANUMBA NAYE ASHIRIKI *PICHAZ*

MSANII wa maigizo Elizabeth Diana Michael aka Lulu jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye #Futari iliyoandaliwa na msanii huyo.. 
Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali mbali… 
Mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan amesema wamefarijika sana kuona Lulu amewakumbuka.
Watoto wakipakua futari.
Mama Kanumba nae alikuwepo.
 Dr Cheni akipata futari.
 Lulu akiwa na mmoja wapo wa mtoto wa kituo hicho.

 Lulu na mama Kanumba wakiteta jambo.
 Lulu na mdogo wake Eric.
 Lulu akikabidhi msaada.

 Lulu na mdogo wake Eric.
Mama mlezi wa watoto hao Bi. Saida Hassan akizungumza na Lulu. 
Picha kwa hisani ya Bestizzo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI