Wednesday, July 30, 2014

BREAKING NEWS: WATU ZAIDI YA 14 WAFARIKI PAPO HAPO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST LIKITOKEA MPWAPWA KWENDA DAR

 Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali.
 Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki 
 
Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika
Picha na Dodoma yetu Blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI