Wednesday, July 30, 2014

ALICHOKISEMA DIAMOND BAADA YA USHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA

USIKU wa kuamkia July 27 2014 ndio usiku ambao Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA 2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.
Angalia hapa alichosema Diamond baada ya kunyakua tuzo hiyo…

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI