Saturday, June 28, 2014

KUTANA NA MWANAMKE MWEMBAMBA DUNIANI: VALERIA LEVITIN *VIDEO*

Akiwa na afya nzuri tu: hapa Valeria alikuwa na umri wa miaka 19 kabla ya ugonjwa mbaya kumkuta na kumpunguza kuwa mwanamke mwembamba zaidi duniani.

Hapa ni baada ya ugonjwa kumkumba mwanadada huyu.
Valeria Levitin ambaye ameumwa ugonjwa wa kukosa kabisa hamu ya kula ujulikanao kama anorexia, ameshawahi kuwa mmoja wa washiriki wa mashindano ya umiss, na baada ya kuwa hivi hata familia yake na watu wa karibu walijitenga nae.
Ona mbavu hizi jamani, Daaah inasikitisha!
Skeleton anayetembea: Valeria amekuwa akiwaasa watu wengine juu ya ugonjwa huu wa anorexia

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI