Monday, June 30, 2014

IFAHAMU SIKU SUBIRA YA SHAA ITAPOKUJIA MTAANI!!!

shaa1
SHAA ameamua kushea picha na wadau wa muziki wake, kwa kuonesha vipande vya wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya kazi na Mkubwa na wanae baada ya kutoa Sugua gaga. 
Ambapo kwa sasa zimebaki siku chache hadi Shaa atoe wimbo huo mpya.
Ambapo amesema atauachia tarehe hiyo hapo chini……!!!!

shaa

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI