Saturday, June 28, 2014

FRENCH MONTANA AMZAWADIA JEEP KOURTNEY KARDASHIAN KATIKA B'DAY YAKE


French na Khloe full happy
BAADA ya kutimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake Kourtney Kardashian a.k.a 
Khloe, amefanyiwa bonge la sherehe katika mgahawa wa Don COQUI uliopo juu ya mji wa Island ikiwa ni kusherekea siku ya kuzaliwa kwake Khloe.
Ambapo sherehe hiyo ilihudhuliwa na mastaa mbalimbali kama P.Didy, French Montana, Familia ya Kardashian wakiwa na dada yao Kim n.k.
Familia ya Kardashiana's wakiwasili eneo la tukio, Kim Kardashian akiwaongoza….!!

Muda ulipofika French Montana akamkabidhi Khloe gari aina ya Wrangler Sahara Jeep yenye thamani ya $49,372 na kwa mujibu wa TMZ alimpa vitu vingi zaidi ikiwa ni pamoja na pete ya dhahabu $ 25,000 18K na vingine vingi.
Kourtney akipuliza mishumaa, kuashiria ametimiza miaka 30!!!




Family ya Kardashiana's

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI