Sunday, June 29, 2014

DIRECTORS WA FILAMU WAMSAKA KALA JEREMIAH BAADA YA KUMSHIRIKISHA MO MUSIC NA KUTOA BONGE LA HIT

kala3
MO Music ambaye Tanzania imemtambua kwa singo yake ya Basi Nenda ambayo una bang sana kitaa, katika machat shows kibao na hata katika simu za mababies wengi kitaani…!
Kijana amepata shavu kubwa toka kwa Kala.

mo music
Kala Jeremiah kamshirikisha kwenye single yake mpya iitwayo Simu ya Mwisho yeye pamoja na Nay wa Mitego, ambapo mwenyewe amesema baadhi ya waongozaji [directors] wamemuomba kuitengenezea movie.

Bofya play hapa chini kuitazama!! 
Enjooooy!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI