Monday, April 7, 2014

RIDHIWANI KIKWETE AIBUKA NA USHINDI MNONO KATIKA JIMBO LA CHALINZE

Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa usiku wa kuamkia leo, ambapo Mgombea huyo ameibuka na ushindi wa kishindo kwa jumla ya kura 20, 000 kati ya 24, 000, zilizopigwa katika uchaguzi huo jana. 
Haya ni matokeo jimbo la Chalinze:- 
katika kata za
Mkange CCM 1262 
Chadema 126 Cuf 33, 
NRA 2 , 
AFP 5, 
Mandela CCM1394, 
Chadema 112, 
CUF8, 
AFP 6 na 
NRA 2 
Kata ya Lugoba: 
CCM 1574, 
Chadema 194, 
CUF 4NRA 4 na AFP 4,
Kata ya Kiwangwa 
CCM 420, 
Chadema 22, 
CUF 5 
NRA na AFP 0, 
Kata ya Msoga 
CCM 1248, 
Chadema 68, 
CUF 9,
NRA 4, 
AFP 6, 
Kata ya Fukayosi 
CCM 934, 
Chadema 63, 
CUF 15, 
AFP 6 na NRA 2, 
Kata ya Mbwewe 
CCM 1319, 
Chadema 169, 
CUF 123, 
NRA na AFP 0
Hongera sana Mhe. Ridhiwani Kikwete kwa kujinyakulia ushindi huo mnono, ni matumaini ya watanzania wengi hasa wale waliokupa dhamana hiyo kuwa utawatumikia kwa moyo wako wote na kuwaongoza katika misingi ya demokrasia na hatimaye kuwaletea maendeleo, kwani wana imani kubwa nawe na chama chako kwa ujumla.
ULIMWENGU WA HABARI TUNASEMA
*****HONGERA*****

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI