Tuesday, April 8, 2014

MAGARI YATEKETEA KWA MOTO KATIKA SHOWROOM YA MWENGE DAR

 Duka la Magari (showroom) iliyopo karibu na Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa ambayo hadi sasa bado haijafahamika na chanzo cha ajali ya moto huo hakijafahamika kwa haraka. Pichani ni sehemu ya magari hayo yaliyoteketea kwa moto.
Hapa ndiyo moto huo ulikuwa ukianza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI