Saturday, April 12, 2014

MAFURIKO JIJINI DAR: JANGWANI, MBAGALA NA MATUMBI






Wananchi wakihama baada ya nyumba zao kujaa maji....
Hapa ni eneo la Jangwani Uwanja wa Club ya Yanga na nyumba zilizopo pembeni yake pakiwa pamejaa maji na barabara ya jangwani kutokea Kigogo haipitiki.
Huu ni uwanja wa Club ya Yanga....ukiwa umejaa maji....
Jangwani......
Nyumba za jiraji na Jengo la Yanga Jangwani......
Mito ni kama hivi hatari tupu.....
Hatari tupu eneo la Mbagala.....
Lori likiwa limetumbukia baada ya barabara kukatika kutokana na mvua kubwa iliyosababisha maji kukatiza barabara eneo la Mbagala. Dereva ameokolewa na wasamariawema.
Wananchi wakiokoana kimtindo......
Nyumba za Dar Villa Msasani.....
Hapa ni Bunju, .......

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI