Monday, March 24, 2014

DIAMOND ALIVYOWAPA MASHABIKI WAKE GOOD TIME YA UKWELI JANA!

Haya yametokea jana ndani ya viwanja vya Coco beach, jijini Dar es salaam…. 
Ambapo ilikuwa ndio siku ya kuhitimisha
mfululizo wa shows za GOOD TIME YA UKWELI 
zilizoandaliwa na kampuni ya Coca-Cola...
Diamond na team ya vijana makini wa WCB
walikuwepo na wakafanya yao...!
Alipowasili
Dj Romy Jons

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI