MWISHO MWAMPAMBA NA MKEWE MERYL WABARIKIWA MTOTO WA KIUME
STAA MWISHO mwampamba na mkewe Meryl wamebarikiwa na mtoto wa kiume kwenye familia yao.Huyu ni mtoto wa pili.
Mtoto wao wa pili amepewa jina King David. Sasa wana watoto wanne,wawill wa ndani ya ndoa na wawili nje.
Kama ulipitwa ni kwamba Mwisho na Meryl walikutana kwenye jumba la big brother na kupendana, walifunga ndoa mwaka 2011 na kupata mtoto wa kike wa kwanza mwaka 2012.
No comments:
Post a Comment