ULIMWENGU WA HABARI
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, September 25, 2014
BAADA YA UVUMI KUWA ANA UJAUZITO, BEYONCE APOST PICHA HIZI *PICHAZ*
BAADA
ya Rapper Jay Z ambaye ni mume wa Beyonce kubadilisha mashairi ya wimbo wake na mashabiki kutafsiri kuwa mke wake anategemea mtoto wa pili.
Beyonce aliona aweke wazi kwa picha kuwa hana kitumbo cha ujauzito kwa sasa kwa kutoa picha akiwa na nguo ya kuogelea [Bikini].
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment