ESMA (Dada ake Diamond), WEMA, MARTIN KADINDA
HIVI
karibuni aliyekuwa miss Tanzania na msanii wa filamu Wema Sepetu
almaarufu kama mke mtarajiwa wa Diamond aliweka picha kadhaa katika
ukurasa wake wa Insta na kuandika hivi:
" Naanza hivi... Maana i havent posted pics tokea juzi if i aint mistaken... Si mnanijua nikianza... Tusichokane tu... Dat was siku ya Eid... At my place... Nikiwa na wii akee @esmaplatnum pamoja na kaka manager @martinkadinda... |
WEMA |
Wema na Ommy Dimpoz |
Wema na Martin Kadinda |
ESMA (Dada ake Diamond), Wema na Martin Kadinda |
Wema na Martin Kadinda |
No comments:
Post a Comment