Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib
Abrahman Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar
katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya
Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na
Wananchi mbali mbali nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka
Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo
liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini (kushoto)
Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika
kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo
la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na
Wananchi mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na
Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimimina taka
katika kontena baada ya kufanya usafi wa madhingira leo wakati wa
zoezi hilo lililofanyika nchi nzima katika kuadhimisha miaka 54 ya
Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwemo eneo la Malindi
Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali mbali walijumuika katika kufanikisha
kazi hiyo,
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ walishiriki katika zoezi
ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi
ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa nasaha zake
baada ya kumalizika kwa zoezi la kufanya usafi wa madhingira leo
wakati wa zoezi hilo lililofanyika nchi nzima katika kuadhimisha miaka
54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwemo eneo la
Malindi Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali mbali walijumuika katika
kufanikisha kazi hiyo,(kushoto)Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib,
#Picha na IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment