Friday, April 3, 2015

WEMA AMPONGEZA MPENZI WAKE WA ZAMANI 'DIAMOND PLATNUMZ' KWA KUMALIZIA MJENGO WAKE


AKIZUNGUMZA na gazeti hili juzi, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.

Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu nitakuwa mnafiki, amefanya jambo zuri la kuigwa hivyo binafsi nampongeza kwa hapo alipofikia,” alisema Wema ambaye katika hatua za mwanzo za ujenzi huo alishiriki.

#GPL

No comments:

Post a Comment