BAADA ya Kanye kufunguka kuhusu Kim na kusema ni mwanamke aliyembadilisha sana, Kim Kardashian nae amejibu mashambulizi alipotokelezea kwenye Tamasha la Cannes Lions huko Ufaransa...
''Najisikia kama tuko fungate kila siku..kila siku kwetu ni kama birthday..na-treat kama kila siku ni siku yake ya kuzaliwa na nadhani ndio itakuwa hivyo kila siku. Tunajaribu kuyafanya maisha yawe ya kuvutia maana tunasafiri,tunafanya kazi kwa bidii..kila muda tunakuwa wote na hata ikitokea hatuko pamoja basi tunafanya mawasilia 24/7 – ili kujaribu kweka kumbukumbu nzuri ya muda''
No comments:
Post a Comment