Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto),
akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo
katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea kiwanda hicho, Dar
es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni mshindi wa kwanza, Richard Makore wa
gazeti la Nipashe, mshindi wa pili, Mnaku Mbani wa gazeti la Business
Times na Denis Fusi wa gazeti la Habari Leo aliyeshika nafasi ya tatu.
Mpishi
Mkuu wa Bia wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es
Salaam, Calvin Nkya (kulia) akimkabidhi zawad ya bia mshindi wa kwanza
wa kuonja bia Richard Makore wa gazeti la Nipashe
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kulia)
akimkabidhi zawadi ya bia Mwandishi wa habari wa gazeti la Business
Times, Mnaku Mbani baada ya kuwa mshindi wa pili wa uonjaji bia.
Mpishi
Mkuu wa Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam, Calvin Nkya (aliyenyoosha mkono), akitoa maelezo ya jinsi bia
zinavyotengenezwa kisasa wakati wa ziara ya waandishi wa habari
kiwandani hapo juzi, ambapo pia walishiriki katika shindano la kuonja
bia

zinavyotengenezwa kwa kutumia kompyuta wakati wa ziara ya waandishi wa
habari kiwandani hapo juzi, ambapo pia walishiriki katika shindano la
kuonja bia
Wanahabari wakipata maelezo jinsi bia inavyochachuliwa
Wanahabari wakitembelea eneo la matanki ya kuchachulia bia
Baadhi
ya waandishi wa habari wakiangalia vifaa maalumu vya kuhifadhia
kimiminika cha bia kinachouzwa bila kuwekwa kwenye chupa katika hoteli
mbalimbali, walipotembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
juzi. Waandishi hao walishiriki katika mashindano ya kuonja bia za TBL.
No comments:
Post a Comment