ITAZAME NA UIPAKUE *VIDEO* MPYA YA FETTY WAP - ‘TRAP NI**AS’
Fetty Wap Fetty Wap kafanikiwa sana na wimbo wake wa Trap Queen na kaona ni sawa akifanya Trap Ni**as, Hii ndio video yake imefanyika Las Vegas. Album ya kwanza ya Fetty Wap iliyoitwa jina lake inatoka Sept. 25 na itakuwa na nyimbo kama “Trap Queen,” “My Way,” na “Again.”
No comments:
Post a Comment