Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na wananchi kwenye ufunguzi wa mkutano wa Mwaka wa waganga wakuu wa Mikoa,halmashauri na wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa hapa nchini katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo kwa wataalamu waoshiriki jitihada za kudhibiti Ugonjwawa Ebola Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Dnan Mmbando jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tuzo wataalam walioshiriki jitihada za kudhibiti ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Stephen Kebwe jijin Dar es Salaam leo.
Sehem ya wananchi waliohudhulia katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mabalimbali leo jijini Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel Massaka)
No comments:
Post a Comment