Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM)
No comments:
Post a Comment