DIAMOND PLATNUMZ KUSHUSHA BURUDANI NDANI YA LAGOS NIGERIA LEO, KATIKA TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA *PICHA*
Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo leo kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment