AVRIL AVUNJA UKIMYA KWA KUACHIA WIMBO MPYA 'NIKIMUONA' @AVRILKENYA
AVRIL avunja ukimya leo kwa kutoa wimbo mpya alioupa jina 'Nikimuona' Wimbo huu unatoka 03/10/2014, utaanza kusikika Kenya na baadae kusambazwa Africa Mashariki.
Nyimbo za Avril za awali ni pamoja na Mama, Kitu Kimoja na Chokoza.
No comments:
Post a Comment