MILIONI 840 ZANUNUA NYUMBA HIZI ZA KUNDI LA ORIJINO KOMEDI
KUNDI la vichekesho la orijino Komedi limenunua na
kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zwnye thamani ya shilingi milioni
840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120.
No comments:
Post a Comment