ILI KUZIMA SKENDO YA MAKALIO FEKI NICKI MINAJ AMETUOA HII PICHA
BAADA ya rapper Nicki Minaj kuumbuka kwenye show ya Fashion Rock kwa kukosea pozi na makalio yake kuonekana tofauti na yanavyoonekana kwenye picha zingine Nicki ameona awape mashabiki kitu kingine cha kuongelea badala ya makalio yake.
No comments:
Post a Comment