JESHI LA NIGERIA LATUHUMIWA KUWACHINJA BOKO HARAM KAMA MBUZI
KUNA
Taarifa kuhusu Jeshi la Nigeria kuwachinja wanamgambo wa Boko Haram na
kuwazika katika kaburi la Pamoja, Habari hiyo bado inachunguzwa na
Mashirika ya haki za binadamu duniani na Serikali ya Nigeria kujua
kiundani nini hasa kilitokea.
No comments:
Post a Comment