Gari aina ya Nissan Hard Body yenye Namba za Usajili T 524 ALW likiwa limetupwa mtaroni na trela la lori (halipo pichani) ambalo
lililigonga gari hilo na kutumbukia mtaroni eneo la Afrikana Mbezi
Beach Mchana tar 07 mwezi huu.
Katika Ajali hiyo iliyohusisha Lori na gari aina ya
Nissan Hard Body hakuna mtu yoyote aliyepoteza Maisha.
Wananchi
wakisaidia Kulifunga minyororo gari aina ya Nissan Hard Body ambayo
imetumbukia mtaroni mara baada ya Kugongwa na trela la lori (halipo pichani) mchana wa tar 07 mwezi huu katika Eneo la Mbezi Afrikana
Wananchi
wakisaidia kuligeuza gari ndogo aina ya Nissan Hard Body iliyotumbukia
mtaroni eneo la Afrikana Mbezi Beach mara baada ya Kugongwa na trela la
lori (halipo pichani) mchana wa tar 07 mwezi huu, katika ajali hiyo hakuna
aliyepoteza maisha.
Picha na Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment