ULIMWENGU WA HABARI
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
(Move to ...)
Home
▼
Friday, July 18, 2014
VITUKO VYA MASTAA: RIHANNA AKIKATIZA MITAANI NA NIGHT DRESS! *PICHAZ*
Rihanna anazidi kutoa kali linapokuja swala la mavazi ambapo safari hii atinga nguo ya kulalia (night dress) na raba na kukatiza kitaani bila wasiwasi!
Jionee mwenyewe..
Tuite fashion ama nini? msiige sasa na hii!
Lol!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment