MOTO ULIVYOTEKETEZA MADUKA MAENEO YA MWANANYAMALA 'A', JIJINI DAR ES SALAAM
HIVI ndivyo hali ilivyokuwa wakati moto uliozuka ghafla ulipoteketeza maduka kadhaa na mali zilizokuwamo ndani yake eneo la Mwananyamala 'A', jijini Dar es Salaam.
Ambapo chanzo cha moto huo kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme.
No comments:
Post a Comment