Na Edward Majura Sagini, Iringa.
JUMAPILI hii imekuwa ya aina yake, waumini wa madhehebu ya kikristo wamesherehekea siku ya matawi, Jumapili ya matawi inaadhimishwa jinsi Yesu Kristo alivyoingia Yerusalemu ili kufa na kufufuka kwa wokovu wa binadamu wote.
Siku hiyo alishangiliwa na umati kwa kutumia matawi, ndiyo asili ya jina.
Kila kona katika manispaa ya iringa wanaonekana watu wakiwa na mitende kama si kwenye maandamano ya kuelekea ibadani basi wakitoka.
Kila kona katika manispaa ya iringa wanaonekana watu wakiwa na mitende kama si kwenye maandamano ya kuelekea ibadani basi wakitoka.
Habari na Mjengwa blog
No comments:
Post a Comment