Balozi wa Urusi anayefanya kazi hapa nchini Alexander Rannikh, akipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu la Orthodox, Askofu Dimitrios, wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi. Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh, akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios baada ya kumalizika kwa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.
Balozi wa Urusi anayefanya kazi hapa nchini Alexander Rannikh, akipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu la Orthodox, Askofu Dimitrios, wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.
Baadhi ya Waumimi wa Dhehebu ya Orthodox wakiwa katika Ibada ya kusherehekea ufufuko wa Yesu Kristu (Pasaka) iliyofanyika katika Kanisa hilo lililpo eneo la Red Cross jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment