ANGALIA PICHA 4 ZA KIFARU KILICHOMNG'OA IDD AMIN DADAA KATIKA VITA YA TANZANIA NA UGANDA
Haya ni masalia ya kifaru kilichomng'oa IDD AMIN katika vita vya Kagera mnamo mwaka 1978-1979. Yakiwa eneo la Mutukula mpakani kabisa mwa Tanzania na Uganda.
Picha kwa Hisani ya mdau Hilali Ruhundwa(Mwandishi wa habari)
No comments:
Post a Comment