MWIGIZAJI Nishabebee Anaendelea kufunguka kuhusu ujauzito wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Hapa chini ameongelea mazingira aliyopata hiyo mimba:
"Mtu pekee anayejua ukweli ni mimi.. pengine kweli nimekosea kwa kuweka hapa na kusema nanunua hadi sabuni ya boxer.
Ila kama ungevaa kiatu changu ungejua nnayopitia wkt huu.
coz ni kipindi ambacho siwezi vumilia kero wacha niwe mkweli wa hili,ni bora uwe na mtu ambaye mko kwenye mahusiano ndo akakupa mimba,kuliko hamko kwenye mahusiano akatumia rafiki zako anataka kukuona then kwa suprise akaja ukashindwa mfukuza coz hamkuachana kwa ugomvi na was like hamna kinachoendelea then rafiki yako alipoondoka akakubaka kisa tu ana nguvu za kukumiliki na anajua udhaifu wako.
Kinachoniuma zaidi zaidi ni kuwa kwenye mahusiano mengine na kupata mimba ya mwengine wakati uhusiano ulikwisha kwisha na akamove on na mwingine na mm niko ok kwa hilo ilhali yalisemwa mengi ya uongo na mm nikajitajidi kutofichua siri za niliyewahi kumpenda.
i've been through a lot... FUC* U AND I HATE U FOR THIS" Nisha
No comments:
Post a Comment